Home video NAHODHA WA U 20 ABAINISHA KUWA MALENGO YAO NI KUCHEZA KOMBE LA...

NAHODHA WA U 20 ABAINISHA KUWA MALENGO YAO NI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA

NAHODHA wa timu ya U 20 ameweka wazi kuwa kikubwa ambacho kimewasaidia kuweza kufanya vizuri ni kutokana na kukaa kambini kwa muda mrefu na kufanya maandalizi kwa muda mrefu na malengo makubwa ni kuweza kufika Kombe la Dunia na ndoto zake ni kucheza nje ya Tanzania. 

 

SOMA NA HII  ISSA AZAM APOKELEWA NDANI YA SIMBA RASMI