Home news ORODHA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA WALIOANZA MAZOEZI

ORODHA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA WALIOANZA MAZOEZI


TIMU ya taifa ya Tanzania,  Taifa Stars jana Oktoba 4 ilianza mazoezi, Uwanja wa Mkapa kwa ajili ya maandalizi ya ya kujiaandaa na mchezo dhidi ya Benin Oktba 7.

Hawa hapa ni wachezaji walioanza mazoezi chini ya Kim Poulsen ambaye ni Kocha Mkuu.

Makipa

Ramadhan Kabwili 

Metacha Mnata

Aishi Manula

Wilbol Maseke

Mabeki

Kibwana Shomari 

Edward Manyama 

Kenedy Juma

Mohamed Hussein

Dickson Job 

Nickson Kibabage

Kiungo

Sopu

Mzamiru Yassin

Feisal Salum

Idd Seleman 

Washambuliaji 

John Bocco

Kibu Denis

Meshack Abraham

Relliants Lusajo

SOMA NA HII  BAADA YA KUPEWA MECHI YA KWANZA....GAMONDI ASHINDWA KUJIZUI KUHUSU GUEDE....