Home video SHABIKI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA AWEKA WAZI KUWA HAIKUWA BAHATI...

SHABIKI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA AWEKA WAZI KUWA HAIKUWA BAHATI YETU

LICHA ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuweza kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Benin ilikuwa ni bahati mbaya kwa wachezaji kwa kuwa walipambana kusaka ushindi ila walikwama.


Kuelekea kwenye mchezo wa marudio ameweka wazi kuwa maandalizi yanahitajika ili timu iweze kushinda. Kwa sasa kwenye kundi J, Stars ipo nafasi ya tatu na ina pointi 4 huku Benin wakiwa ni vinara na pointi zao ni 7.

 

SOMA NA HII  MASHABIKI KUTOKA ULAYA WATAJA SABABU YA KUIPENDA YANGA