Home news YANGA YASEPA NA POINTI TATU ZA GEITA GOLD

YANGA YASEPA NA POINTI TATU ZA GEITA GOLD


KIKOSI cha Yanga kimesepa na pointi tatu mbele ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa.

Bao la ushindi limejazwa kimiani na nyota wao mpya Jesus Moloko ambaye alipachika bao hilo dakika ya 16.

Ushindi huo unaifanya Yanga kufikisha pointi 6 kibindoni na unakuwa ni wa pili mfululizo. 

Walianza kushinda mbele ya Kagera Sugar ambapo mtupiaji alikuwa ni kiungo wao Feisal Salum. 

SOMA NA HII  AZIZI KI ATOA TAMKO HILI KWA MASHABIKI