Home video YANGA: TIMU INAJENGWA SIKU ZOTE, KILA TIMU INASAJILI KILA MSIMU

YANGA: TIMU INAJENGWA SIKU ZOTE, KILA TIMU INASAJILI KILA MSIMU

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba haikuwa maneno matupu bali walikuwa na mipango ya kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara jambo ambalo limewafanya washindwe kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ni kushindwa kupata pointi kwenye baadhi ya mechi.


 Pia kuhusu changamoto ambazo zimejitokeza wameahidi kuzifanyia kazi wakati ujao pale ambapo walikosea, Kuhusu suala la usajili wameweka wazi kwamba katika kujenga kikosi timu haijengwi siku moja hivyo watu wanapasa waelewe.

 

SOMA NA HII  VIDEO: JEMBE JIPYA KUTOKA BURUNDI LAKUBALI KUTUA YANGA