news

IMEFICHUKAAH…KOCHA MPYA SIMBA KULIPWA ZAIDI YA MILIONI 98 KWA MWEZI…ISHU NZIMA IKO HIVI…

admin November 1, 2021 7:00 pm


WAKATI joto la kocha atakayechukua nafasi ya Didier Gomes ambaye ameachana na timu hiyo baada ya kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa juu, bado timu hiyo inachakata majina ya waliotuma CV zao.

Rulani Mokwena (34) ambaye anainoa Mamelodi Sundwons anahusishwa zaidi na Simba, huku mshahara wake anaolipwa umefahamika ni Randi 650,000 (Sh 98 milioni) kwa mwezi hali ambayo itawalazimu Simba kumlipa kama anavyolipwa Mamelod Sundwons au zaidi ya pesa hizo kama watamtaka.

Anashika nafasi ya Tano katika orodha ya makocha wanaolipwa mshahara mkubwa katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini nyuma ya Stuart Baxter, Manqoba Mngqithi, Josef Zinnbauer, Eric Tinkler

1. Stuart Baxter- R 800,000

2. Mngqithi- R750,000

3. Zinnbauer- R 650,000

4. Tinkler- R 650,000

5. Rulani Mokwena- R650,000

6. Benni McCarthy-R600,000

7. Jan Olde-R600,000

8. Steve Komphela- R600,000

9. Kaitano Tembo- R500,000

10. Steve Barker- R400,000

GOMES ASEPA BONGO NA JINA LA ‘FEI TOTO’ ….AFUNGUKA  ALIVYOWATAKA SIMBA WAMSAJILI NA MCHONGO ULIVYOKUWA… MABOSI SIMBA WAVAMIA VYUMBA VYA WACHEZAJI…GSM YAFANYA KUFURU YANGA…SPOTI XTRA LEO..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply