Home BIashara United BREAKING….CAF YATOA MAAMUZI SAKATA LA BIASHARA UNITED…SASA RASMI NI ‘OUT’…

BREAKING….CAF YATOA MAAMUZI SAKATA LA BIASHARA UNITED…SASA RASMI NI ‘OUT’…


Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiondoa timu ya Biashara United ya Tanzania katika mashindano ya Kombe la Shirikisho kwa kutofika uwanjani kwenye mechi dhidi ya Ahly Tripoli ya Libya.


SOMA NA HII  YANGA SC, AZAM FC KWA KANUNI HII CAF MUWE MAKINI...SIMBA NO STRESS