Home news MANARA TENAH..’ATINGISHA KIBERITI’ SAKATA LA USAJILI WA CHAMA KUTUA YANGA…AWAZODOA SIMBA…

MANARA TENAH..’ATINGISHA KIBERITI’ SAKATA LA USAJILI WA CHAMA KUTUA YANGA…AWAZODOA SIMBA…


Msemaji wa klabu ya Young Africans Haji Manara ameibuka na jambo jipya katika mitandao ya kijamii, kwa kuweka andiko lililobeba dhana yenye fumbo la usajili.

Manara ameandika ujumbe huo, huku Dirisha Dogo la Usajili likitarajiwa kufunguliwa Desemba 15.

Young Africans kwa sasa inatajwa kuwa kwenye mawindo ya kurudisha nchini Kiungo kutoka nchini Zambia caltous Chota Chama na huenda andiko lake likawa linamuhusu mchezaji huyo.

Manara ameandika: Nchi tuisimamishe sasa hv au baadae? Dadadeki, Ok biashara tushamaliza na hapa Hersi @caamil_88 ndio anashughulikia ATC, oooh Tholi ni ITC

Jana mliongopewa nn vile?

We Are Yanga, The Home of Champions

Sijui nifanye Press au niseme humu humu, halaf wala haturingi

SOMA NA HII  BAADA YA KICHAPO CHA SIMBA...NABI AFUNGUKA HAYA..AMTAJA AZIZ KI