news

BAADA YA KUTAJWATAJWA SANA KUTUA SIMBA AU YANGA …MOSES PHIRI AVUNJA UKIMYA..AFUNGUKA HAYA ..

admin December 30, 2021 3:00 pm


MSHAMBULIAJI wa Zesco FC ya nchini Zambia, Moses Phiri ambaye Simba na Yanga zimekuwa zikionesha nia ya kumsajili kwenye usajili wa dirisha dogo, ametuma salamu baada ya wikiendi kufunga bao.

Phiri alifunga bao moja kwenye mchezo wa Ligi Kuu Zambia dhidi ya Kabwe Warriors uliomalizika kwa Zesco kushinda mabao 2-1.

Akizungumza na gazeti la Championi Jumatatu, Phiri amesema kuwa: “Bao lile ni kama salamu kwa mashabiki wangu hasa wa Tanzania ambao muda sio mrefu huenda nikajiunga nao.”

PAMOJA NA KIWANGO CHAKE KUIMARIKA…GSM AINGILIA KATI ISHU YA MKATABA MPYA KWA SAIDO…AJA NA HILI.. KIWANGO CHA LUIS MUQUISSONE CHAWALIZA MASHABIKI AL AHLY…WADAI NI HASARA KWA TIMU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply