News

MTAALAMU WA MIGOLI YA KIDEONI ATUA YANGA KIBABE…ALIKUWA WA KWANZA….

admin January 5, 2022 1:00 am


CRISPIN Ngushi, aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya Kwanza sasa rasmi ni mali ya Yanga.

Nyota huyo ndani ya Ligi Kuu Bara ametupia jumla ya mabao matatu na alikuwa ni kinara ndani ya Mbeya Kwanza.

Alikuwa ni mshambuliaji wa kwanza msimu wa 2021/22 kufunga bao la kideo ambalo ni Acrobatic ilikuwa mbele ya Mbeya City katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Sokoine.

Ni mkali wa mabao ya kideoni sasa ni rasmi ni kijani na njano akiwa amepewa dili la miaka miwili.

UMAFIA..YANGA YAIPINDUA SIMBA KWA PHIRI….KISA USAJILI..,PABLO AWAONYA MABOSI SIMBA… YANGA YAVAMIA SIMBA..YAMPANDIA NDEGE STRAIKA MATATA..MUIVORY WA SIMBA AAMSHA MZUKA….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply