news

PAMOJA NA KUONDOKA..WAMOROCCO WAANIKA A-Z KILICHOMUONDOA CHAMA KWAO..WATOA KAULI HII…

admin January 15, 2022 9:00 am


Klabu ya Berkane ya nchini Morocco imethibitisha kuondoka kwa mchezaji Clatous Chama ambaye alisaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia timu hiyo.

Berkane imesema Chama raia wa Zambia aliomba kuondoka kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo familia, kushindwa kuendana na hali na maisha ya Morocco.

Chama ametambulishwa jana na klabu ya  Simba ambayo aliitumikia kwa mafanikio makubwa ikiwemom kubeba mataji ya Ligi Kuu.

Berkane inayonolewa na kocha Florent Ibenge  imemtakia heri na mafanikio Chama katika klabu yake ya Simba ambayo alitokea kwenda Morocco

SAA CHACHE BAADA YA KUTAMBULISHWA SIMBA…CHAMA ARUSHA ‘KIJEMBE’ YANGA…MKATABA WAKE UKO HIVI… KISA PENATI YA SIMBA…AZAM FC WASHINDILIA MAAMUZI YA REFA..WADAI KADI NYEKUNDU..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply