News

WAKATI SIMBA WAKIWA NA HUZUNI YA KICHAPO …CHAMA AWATAZAMAA WEE..KISHA ATOA KAULI HII…

admin January 18, 2022 4:00 am


CLATOUS Chota Chama, nyota wa Simba Sc amesema kuwa ni furaha kubwa kwake kurejea ndani ya timu hiyo.

Chama aliibuka ndani ya RS Berkane msimu wa 2021/22 akitokea Klabu ya Simba na amerejea tena nyumbani.

Ni usajili wa kwanza katika dirisha dogo ambapo jana hakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya Mbeya City ambao wameupooteza kwa kichapo cha goli moja bila kwenye Uwanja wa Sokoine.

Nyota huyo amesema:”Nafurahi kurejea Simba, nimerudi nyumbani na nina amini kwamba tutapambana kuchukua makombe,”.

BAADA YA KICHAPO…PABLO AWATULIZA SIMBA…CHAMA KUANZA ….YANGA WAHESABU MECHI SABA ZA UBINGWA… KISA KUPOTEZA UBINGWA WA MAPINDUZI..NABI AFURA KWA HASIRA YANGA…ATOA AMRI HII MPYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply