Home news DILI LA NKANE KUTUA YANGA LAFIKIA PATAMU….MWENYEWE AFUNGUKA SHOW ILIVYOKAA…

DILI LA NKANE KUTUA YANGA LAFIKIA PATAMU….MWENYEWE AFUNGUKA SHOW ILIVYOKAA…

 


ALIYEKUWA mchezaji wa Biashara United ya Mara nafasi ya kiungo mshambuliaji, Denis Nkane (18) ameaga rasmi ndani ya klabu hiyo kwa ajili ya kuelekea Yanga ambako ataanza kuwatumikia Wananchi hao wa Jangwani.

β€œNapenda nichukue nafasi hii kuushukuru uongozi wa klabu ya Biashara United kwa kuwa hawa ndio wamenitambulisha mimi kwenye ligi na soka. Pia napenda nichue nafasi hii kuwashukuru wachezaji wenzangu kwa muda wote niliokuwa nao, kwasasa ni muda wangu wa kwenda kutafuta changamoto nyingine,” amesema Nkane.

Denis Nkane Profile

First Name : Denis

Last Name : Nkane

Place of Birth : Tanzania

Date of Birth : 30 September 2003

Nationality : Tanzanian

Team: Yanga Sc

League : NBC Tanzania Premier League 2021/2022

Position : Wing (Left and Right)

Caf Confederation Cup 2021/2022

SOMA NA HII  SIMBA, YANGA NA AZAM ZAPEWA KAMSELELEKO MICHUANO YA CAF...MBINU ZOTE ZA USHINDI SASA WAZI...MAKI AONYWA...