Home CAF KOMBE LA SHIRIKISHO: NAMUNGO 0-0 NKANA FC

KOMBE LA SHIRIKISHO: NAMUNGO 0-0 NKANA FC

 


KOMBE la Shirikisho,  Kundi D

Uwanja wa Mkapa

Namungo FC 0-0 Nkana FC

Dakika ya 45 Sabilo anakosa nafasi ya wazi kwa kupiga kichwa 

Dakika ya 42 Duah anapeleka mashambulizi Nkana FC 

Dakika ya 36, Tangalo Fred anaingia anatoka Nyenye

Dakika ya 34 Nyenye anacheza faulo nje kidogo ya 18 linaokolewa na Nahimana 

Dakika ya 33 Kichuya anafanya jaribio linakwenda nje ya lango

Dakika ya 29 wanapata faulo ndani ya 18

Dakika ya 20 mabeki wa Namungo FC wanamsindikiza mshambuliaji wa Nkana FC anapiga shuti linakwenda nje ya lango 

Dakika ya 15 Shamte anapeleka mashambulizi Nkana inakuwa ni kona inapigwa na Shiza Kichuya ni kona fupi

Dakika ya 12, Sabilo anaotea

Dakika ya 7 Hamis Nyenye wa Namungo anaonyeshwa kadi ya kwanza ya njano kwenye mchezo wa leo

Dakika ya 5 Stephen Sey wa Namungo anakosa nafasi ya wazi akiwa na mlinda mlango

Dakika ya 2 Nahimana anaokoa hatari langoni mwake

Baada ya vuta nikuvute kati ya  Nkana FC na Mwamuzi wa mchezo wa leo hatimaye wamekubaliana kuanza mchezo ulitarajiwa kuanza saa 10:00 ila umeanza saa 11:00


Kulikuwa na dakika moja ya kumuombea aliyekuwa Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli 

SOMA NA HII  BAADA YA KUTEMWA AZAM FC OBREY CHIRWA HUYOOO NAMUNGO FC