Home news KISA KUKWEPA HUJUMA ZA SIMBA..YANGA WALIMWA FAINI YA KUFA MTU NA...

KISA KUKWEPA HUJUMA ZA SIMBA..YANGA WALIMWA FAINI YA KUFA MTU NA BODI YA LIGI…


KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania Bara TBLP katika kikao chake cha Desemba  30, 2021 ilipitia mwenendo wa matukio mbalimbali na kufanya maamuzi.

Klabu ya Young Africans imetozwa faini ya sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kuingia uwanja wa Benjamin Mkapa  kwa kutumia mlango usio rasmi katika mchezo uliochezwa Desemba 11, 2021 dhidi ya Simba.

Adhabu hii ni kwa kuzingatia kanuni ya 17 (21&60) ya ligi kuu kuhusu Taratubu za mchezo ikizingatiwa kuwa hii ni mara ya pili kwa klabu ya Yanga kutenda kosa hilo msimu huu.

SOMA NA HII  #SIKUYAWANANCHI:...WOKONGWE YANGA WANGOJA KUONA 'SHOW' ZA KINA AZIZ KI NA LOMALISA...MANARA ATOA MSIMAMO WAKE...