Home news KOCHA ALIYEBORESHA KIWANGO CHA MANULA SIMBA ATUA YANGA KWA MBWEMBWE..ATOA KAULI HII….

KOCHA ALIYEBORESHA KIWANGO CHA MANULA SIMBA ATUA YANGA KWA MBWEMBWE..ATOA KAULI HII….


MILTON Nienov aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba kabla ya kuchimbishwa leo Januari 16 ametambulishwa ndani ya Yanga.

Nienov anakwenda kuchukua mikoba ya Razack Siwa ambaye anainoa timu hiyo kwa sasa.

Kocha huyo raia wa Brazil aliweka wazi kuwa anaipenda Tanzania kutokana na ukarimu pamoja na mazingira mazuri.

Alikuwa akimnoa Aishi Manula na sasa atakuwa anamnoa Aboutwalib Mshery na Diarra Djigui makipa wa Yanga.

SOMA NA HII  "KUNA WATU WAMEWEKEZA PESA WANA...MICHAMBO,MASIMANGO NA MINUNO"...ALLY KAMWE