Home news MTAALAMU WA MIGOLI YA KIDEONI ATUA YANGA KIBABE…ALIKUWA WA KWANZA….

MTAALAMU WA MIGOLI YA KIDEONI ATUA YANGA KIBABE…ALIKUWA WA KWANZA….


CRISPIN Ngushi, aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya Kwanza sasa rasmi ni mali ya Yanga.

Nyota huyo ndani ya Ligi Kuu Bara ametupia jumla ya mabao matatu na alikuwa ni kinara ndani ya Mbeya Kwanza.

Alikuwa ni mshambuliaji wa kwanza msimu wa 2021/22 kufunga bao la kideo ambalo ni Acrobatic ilikuwa mbele ya Mbeya City katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Sokoine.

Ni mkali wa mabao ya kideoni sasa ni rasmi ni kijani na njano akiwa amepewa dili la miaka miwili.

SOMA NA HII  MBRAZILI WA MAKIPA YANGA ASHINDWA KUJIZUIA ISHU YA DIARRA KUPIGWA BENCHI AFCON...AFUNGUKA HAYA...