Home news WAKATI SIMBA WAKIWA NA HUZUNI YA KICHAPO …CHAMA AWATAZAMAA WEE..KISHA ATOA KAULI...

WAKATI SIMBA WAKIWA NA HUZUNI YA KICHAPO …CHAMA AWATAZAMAA WEE..KISHA ATOA KAULI HII…


CLATOUS Chota Chama, nyota wa Simba Sc amesema kuwa ni furaha kubwa kwake kurejea ndani ya timu hiyo.

Chama aliibuka ndani ya RS Berkane msimu wa 2021/22 akitokea Klabu ya Simba na amerejea tena nyumbani.

Ni usajili wa kwanza katika dirisha dogo ambapo jana hakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya Mbeya City ambao wameupooteza kwa kichapo cha goli moja bila kwenye Uwanja wa Sokoine.

Nyota huyo amesema:”Nafurahi kurejea Simba, nimerudi nyumbani na nina amini kwamba tutapambana kuchukua makombe,”.

SOMA NA HII  SIMBA QUEENS YATWAA UBINGWA MBELE YA BAOBAB QUEENS