news

ZA NDANI KABISA…..MORRISON ‘AIDINDIA’ SIMBA…AKATAA ‘KUMWANGUKIA BARBARA’…SIMBA WANYOOSHA MIKONO…

admin February 9, 2022 7:00 am


HABARI kutoka kwa watu wa karibu wa nyota Benard Morrison  wamesema kuwa winga huyo amegoma kuandika maelezo kwenda kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuhusu tuhuma za kinidhamu anazotuhumiwa na klabu hiyo.

Morrison raia wa Ghana anadai kuwa yeye hana kosa hawezi kuandika maelezo yoyote wakati huo wazee wa klabu ya Simba SC wameutaka uongozi wa klabu hiyo kuachana na Morrison haraka iwezekanavyo.

Aidha, Klabu ya Simba imethibitisha kutopokea barua ya maelezo kutoka kwa Morrison ambaye wamemsimamisha kwa makosa ya utovu wa nidhamu, Februari 4, 2022. ambapo klabu ya Simba ilitoa taarifa ya kumsimamisha mchezaji huyo.

Kwa mujibu wa Ofisa wa idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally amesema klabu bado haijapokea maelezo kutoka kwa mchezaji wao Bernard Morrison. Mchezaji huyo anapaswa kuandika barua ya maelezo kwenda kwa mtendaji mkuu.

BILA KUPEPESA MACHO…JERRY MURO ‘AWAPA MAKAVU LIVE’ MANARA NA BUMBULI..ADAI NI VITUKO.. PAMOJA NA YOTE YALIYOMPATA..NYOTA YA KABWILI YAZIDI KUNG’AA…AISAIDIA TIMU YAKE KUSHINDA NG’OMBE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply