news

KUELEKEA MECHI DHIDI YA WAIVORY..KIBU NA DILUNGA WAIPA SIMBA ‘TUMBO JOTO’…LWANGA NAYE ATAJWA…

admin February 11, 2022 4:00 am


MENEJA Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amefungukia maendeleo ya wachezaji wao Kibu Denis na Hassan Dilunga ambao kwa sasa ni majeruhi.

Hiyo ni katika kuelekea mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi dhidi ya Asec Mimosas utakaochezwa Jumapili ya wiki hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar.

Akizungumza na Spoti Xtra, Ally amesema: “Leo (jana) asubuhi Dilunga ameenda kuangaliwa tatizo lake na kujua ni kwa muda gani atakaa nje ya uwanja.

“Kwa upande wa Kibu, yeye bado hali yake siyo nzuri, ila Taddeo Lwanga amesharejea na kuanza mazoezi na timu na huenda mwalimu akamtumia katika mchezo wa Jumapili.”

MZUKA WA AUCHO, MAYELE UNASHTUA..NABI APAGAWA…MO AMWAGA MAMILIONI MENGINE SIMBA… MO AFANYA KUFRU NYINGINE SIMBA…ATOA KAULI YA MWAKA KUELEKEA MECHI NA WAIVORY…SASA NI MSELELEKO TU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply