News

MO AFANYA KUFRU NYINGINE SIMBA…ATOA KAULI YA MWAKA KUELEKEA MECHI NA WAIVORY…SASA NI MSELELEKO TU…

admin February 11, 2022 4:00 am

 


Mwekezaji kunako Klabu ya Simba Mohammed Dewji “Mo Dewji” ameiagiza Klabu ya Simba kushusha Viingilio kutoka Elfu 5000 mpaka Shilingi elfu 3000, katika mchezo wake dhidi ya Asec Mimosas kutoka nchini Ivory Coast.

Mo ametoa kauli hiyo hii juzi alipotembelea Kambi ya Simba na amesema lengo kubwa ni kuwapa fursa Mashabiki kujaa Uwanjani kuja kuisapoti timu kwani bila Mashabiki hakuna Simba.

Hapo awali viingilia katika Mchezo huo unaokwenda kupigwa Februari 13, vilikua ni Shilingi 5000, 20,000 na 40,000.

KUELEKEA MECHI DHIDI YA WAIVORY..KIBU NA DILUNGA WAIPA SIMBA ‘TUMBO JOTO’…LWANGA NAYE ATAJWA… BODI YA LIGI WAVUNJA UKIMYA ISHU YAO NA GSM…WAFUNGUKA MADUDU ZAIDI YA MKATABA WA UDHAMINI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply