News

KUHUSU KUCHEZA NA YANGA MANUNGU….MTIBWA WAIBUKA NA HILI… THOBIAS KIFARU AITAJA TABORA…

admin February 18, 2022 5:00 pm


UONGOZI wa Klabu ya Mtibwa Sugar, umeweka wazi  kuwa, mchezo wao dhidi ya Yanga utafanyika Uwanja wa Manungu uliopo mkoani Morogoro na wala hawatauhamisha kwenda popote.

Februari 23, mwaka huu, Mtibwa watakuwa wenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru, alisema: “Watu wanazusha kuwa mechi sijui itafanyika Tabora, lakini nataka niwaambie kuwa mechi ipo palepale katika uwanja wetu wa Manungu.

“Sisi tunaitaka Yanga ije hapa Manungu, tumejipanga vizuri kuwakabili. “Kwa namna yoyote ile tutapata ushindi, huko nyuma tumepoteza mechi, lakini kwa Yanga tutapambana kushinda.”

YANGA WAFANYA KWELI BUNGENI…WAIPIGA BAO SIMBA …WAMBEBA JUMLA JUMLA SPIKA TULIA… SIMBA YAWAMALIZA WANIGER MAPEMA…KOCHA WAO HANA UHAKIKA WA KUPATA USHINDI…NABI ATAJA MCHAWI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

2 responses to “KUHUSU KUCHEZA NA YANGA MANUNGU….MTIBWA WAIBUKA NA HILI… THOBIAS KIFARU AITAJA TABORA…”

  1. Chong says:

    Do you mind if I quote a few of your posts as long as I provide credit and sources back to your site?
    My website is in the exact same niche as yours and my
    users would definitely benefit from some
    of the information you present here. Please let me know if this ok with
    you. Appreciate it!

    Here is my homepage: Kochen

  2. admin says:

    Sure, Welcome

Leave a Reply