Home news KAMA UNAMPENZI HII INAKUHUSU ..PATA ZAWADI YA VALENTINE NA UUMPENDAYE …SIMPLE TU...

KAMA UNAMPENZI HII INAKUHUSU ..PATA ZAWADI YA VALENTINE NA UUMPENDAYE …SIMPLE TU NA Infinix…


Ni Mwezi wa Mapendo na Kampuni ya simu Infinix imeanza rasmi kusambaza upendo kwa wateja na wadau wote wenye mahaba zidi ya kampuni iyo. Tangu kuanza kwa Mwezi huu na hadi mwishoni mwa Mwezi huu Infinix kuwa nawe  #BeWithYou kuhakikisha Valentine yako inakuwa poa pale tu utakapothubutu kufanya haya mawili;

 Ingia katika App ya XClub http://www.infinix.club/forum/217/7093856 kisha andika ujumben mzito chini ya mada hii #BeWithYou. Ujumbe unaoshiria upendo kwa umpendae anaweza kuwa Mzazi, rafiki au mpenzi.

 Tembelea maduka ya Infinix na ununua kati ya matoleo haya mawili mapya Infinix NOTE 11 Serieshttps://www.infinixmobility.com/smartphone/note-11-pro/ na Infinix HOT 11 Series na piga picha papo hapo kwa #BeWithYou na Infinix itakukabidhi zawadi zako za Valentine kwako na kwa umpendae papo hapo pasipo kujaribu bahati nasibu yoyote.

Infinix HOT 11 na Infinix NOTE 11 Series ni kati ya matoleo mapya ambayo Kampuni ya simu Infinix ili ziingiza sokoni mwishoni mwa mwaka jana na kupokelewa vizuri na wateja. Infinix HOT 11 inasifika na kutambulika kuwa simu ya kwanza ya series ya HOT kuja na sifa kuu tatu ambayo ni kamera ikiwa na MP50, battery ya mAh 6000 na storage ya GB128 kwa Ram ya GB4.

Infinix NOTE 11 pro inafanya vizuri zaidi kutokana na aina na nguvu ya processor iliyopo ndani mwake kuweza kuendesha applications kwa wepesi na haraka zaidi pasipo kuchukua utumizi mkubwa wa chaji, Infinix NOTE 11 pro inakuwa simu ya kwanza kuja na Mediatek Helio G96 ikiwa na camera ya MP64.

Usiruhusu umpendaye akose furaha tembelea maduka ya Infinix uzawadiwe. Piga nambari 0756554400 kwa maelezo zaidi

#BE WITH YOU

SOMA NA HII  FAGIA FAGIA LIGI KUU....JE YANGA KUONDOKA NA MKENYA WA TZ PRISONS..?