Home news CHAMA ASHINDWA KUFICHA MAHABA YAKE KWA MAYELE NA SAIDO…AFUNGUKA ANAVYOWAKUBALI ‘KISHENZI YANI’…

CHAMA ASHINDWA KUFICHA MAHABA YAKE KWA MAYELE NA SAIDO…AFUNGUKA ANAVYOWAKUBALI ‘KISHENZI YANI’…


Kiungo wa Simba Clautos Chama amesema anawahusudu sana baadhi ya wachezaji wa kigeni kutoka kwa mahasimu wao Yanga.

Akizungumza kwenye mahojiano maalum, Chama amesema pia anawakubali pia wachezaji wenzie wakigeni kwenye timu ya Simba.

โ€œNadhani nitawataja Pape Sakho, Peter Banda, Saido Ntibazonkiza, Aucho licha ya kuwa sijamtazama sanaa akiwa anacheza na Mayele naye anafanya vizuri tuโ€ amesema Chama.

Ikumbukwe Chama amerejea tena Simba miezi kadhaa iliyopita akitokea klabu ya RS Berkane ya Morocco.

SOMA NA HII  UFINYANGE MKEKA WAKO LEO KWA KUZINGATIA ODDS ZA KWENYE TIMU HIZI...