Home Habari za michezo KUHUSU ILE ISHU YA MAYELE KUTAKIWA KAIZER CHIEF..YANGA WATOKA NA TAMKO HILI...

KUHUSU ILE ISHU YA MAYELE KUTAKIWA KAIZER CHIEF..YANGA WATOKA NA TAMKO HILI TENA…


UONGOZI wa Yanga umefunguka ishu ya mshambuliaji wao wa kati kipenzi cha mashabiki, Fiston Mayele kuhusishwa kujiunga na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.

Kumekuwa na tetesi nyingi za Kaizer kumtaka Mayele.

Yanga wametoa tamko rasmi kuwa mzee huyo wa kutetema hataondoka kutokana na kuwa na mkataba wa kuendelea kukipiga ndani ya klabu hiyo.

Kuhusu Mayele kutakiwa na Kaizer Chiefs, Mhamasishaji wa Yanga, Haji Manara, amesema kuwa mchezaji huyo bado ana mkataba wa kuendelea kuitumikia Yanga huku akisisitiza kuwa hakuna timu hapa nchini ambayo itaweza kumsajili mchezaji huyo.

SOMA NA HII  LAANA YA KUMUACHA KISINDA NA CHAMA YAWATAFUNA BERKANE...WATEMESHWA UBINGWA WA CAF...