Home Habari za michezo KISA MANENO YAKE YA KUKERA…SIMBA WAENDELEA KUMGANDA KOCHA WA ORLANDO…WATOA WARAKA MZITO…..

KISA MANENO YAKE YA KUKERA…SIMBA WAENDELEA KUMGANDA KOCHA WA ORLANDO…WATOA WARAKA MZITO…..


KLABU ya Soka ya Simba imetoa taarifa kwa Umma juu ya hatua iliyochukua kutokana na kauli zilizotolewa na Kocha wa Orlando Pirates Mandla Ncikazi.

Simba wameelezea sababu za msingi kuwa ni kulinda uhusiano wa muda mrefu uliopo kati ya Tanzania na Afrika Kusini.



SOMA NA HII  BEKI SIMBA AKUBALI YAISHE KWA YANGA..AWAPA UBINGWA..BARBARA,TRY AGAIN WACHORA RAMANI...