Habari za michezo

TUKIO LA MANULA KUTOKWA DAMU MKONONI GHAFLA KABLA YA MECHI YA JANA…ISHU NZIMA KUMBE IKO HIVI…SHABIKI ATAJAWA..

admin May 22, 2022 11:37 pm

 


Kupitia Ukurasa Rasmi wa Klabu ya  wameripoti kuwa mlinda mlango wao, Aishi Manula ameumia mkono baada ya kukatwa na kioo katika chumba cha kubadilishia nguo (dressing room).

“Dakika chache kabla ya kuanza kwa mchezo wetu dhidi ya Geita Gold FC, mlinda mlango wetu Aishi Manula aliumia mkono baada ya kukatwa na kioo katika chumba cha kubadilishia nguo (dressing room).

Manula aliwasili uwanja wa CCM Kirumba akiwa kwenye orodha ya wachezaji wanaocheza mchezo wa leo na baada ya kuingia katika chumba cha kubadilishia nguo akaangukiwa na kioo ambacho kilivunjika baada ya kuegemewa na mashabiki waliokua nje chumba hicho.

Tayari Aishi amepatiwa matibabu na anaendelea vizuri. Tutaendelea kuwajuza hatua kwa hatua ya maendeleo yake.

ZA NDANIII KABISA….BAADA YA MORRISON KUPIGWA CHINI….MOSES PHIRI IMEBAKI TIKETI YA NDEGE TU ATUA ZAKE BONGO… A-Z JINSI GEITA GOLD WALIVYOWANYANYASA SIMBA KWENYE UWANJA WA CCM KIRUMBA…PABLO ALIFANYA YOTEE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply