Habari za michezo

NI MADRID TENAAH….WAENDELEZA UBABE WA LIGI YA MABINGWA ULAYA…LIVERPOOL NI SAWA NA SIMBA SC WALIOCHANGAMKA….

admin May 29, 2022 2:12 am


Wafalme wa Ulaya, Real Madrid kwa mara nyingine wamefanikiwa kunyakua Kombe la Ligi ya Mabingwa barani Ulaya mbele ya majogoo wa Jiji Liverpool kwa ushindi wa goli 1-0.

Mchezo huo ambao ulikuwa unapigwa katika Jiji la Paris nchini Ufaransa, umewapa Real Madrid taji lao la 14 katika historia ya Michuano hiyo.

Goli la pekee na la ushindi la Madrid limewekwa wavuni na Winga wake Vinicious Junior dakika ya 59 ya mchezo.

Nyota wa mchezo wa leo anaki kuwa Mlinda mlango wa Real Madrid, Thibaut Curtois ambae alifanya kazi ya ziada tangiu kipindi cha kwanza kucheza na michomo ya Salah na Mane.

MO DEWJI ATANGAZA UAMUZI MGUMU SIMBA…PABLO APATA KIGUGUMIZI CHA GHAFLA…STRAIKA AGOMEA MKATABA… A-Z JINSI YANGA WALIVYOINYONGA SIMBA NDANI YA UWANJA …WALITANGULIZA ‘MASHINE’ MBILI MBELE…TABU IKO PALEPALE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply