Home Habari za michezo BAADA YA KUPATA USHINDI JANA….MANARA ATUPA KOMBORA SIMBA…”KUNIROGA HAMNIWEZI..KUNIPIGA NDIO KABISAA”…

BAADA YA KUPATA USHINDI JANA….MANARA ATUPA KOMBORA SIMBA…”KUNIROGA HAMNIWEZI..KUNIPIGA NDIO KABISAA”…


Kutoka kwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya timu yake kuichapa Simba kwa bao 1-0 na kuivua ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam.

Haji ameandika maneno haya ya kuwakera wapinzani wao; “Kuniroga hamniwezi,,kunipiga ndio kabisaaaaaa,,iliyobaki mkalambe sumu tu. Naitwa Haji Sunday Ramadhan Manara, Bugati.

Mpira nna Hijaza nao, nna DNA na football, sikukutana nao Mtaani, kisha mimi ni Ahllu Bait ( Kitukuu cha Rasuli).

Nimezaliwa ili niwe Msemaji wa Soka, na nna nyota ya Subailah, Kiufupi HAMNIWEZI. Niliadhiniwa na Masharifu nilipozaliwa.

Mkimaindi napost Royal Tour Goal.

Beauty Beauty ????????”

SOMA NA HII  WAKATI LEO DUNIA NZIMA IKITAZAMA QATAR...MERIDIANBET WANAKUPA MCHONGO HUU...ZINGATIA HAYA TU...