Habari za michezo

KUHUSU UBINGWA WA MSIMU HUU…SIMBA WAISHUTUMU YANGA KWA PROPAGANDA …MORRISON ATAJWA…

admin May 13, 2022 9:04 am


Vita ya kuwania Taji la Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu 2021/22, imeendelea kupamba moto kati ya Simba SC na Young Africans huku alama 08 zikizitofautisha klabu hizo katika msimamo.

Simba SC inayotetea Taji hilo kwa mara ya tano ipo nafasi ya pili ikiwa na alama 49, huku Young Africans inayolisaka Taji la Ligi Kuu kwa msimu wa tano mfululizo ikiwa kileleni kwa kufikisha alama 57.

Simba SC wanaamini tetesi za usajili wa Bernard Morrison kwenda Young Africans zinazoendelea katika mitandao ya kijamii ni sehemu ya Propaganda za vita ya kuwania Ubingwa msimu huu.

Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amethibitisha kushtukiwa kwa Propaganda hizo zinazotumiwa na Upande wa pili, huku akisistiza kuwa klabu yao haitoyumbishwa na Popaganda hizo.

Ahmed Ally ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kutoa ufafanuzi wa Proganda hizo kwa kuandika: Mmeanza cheap propaganda kuhusu wachezaji wetu

BAADA YA KUHISI PENGINE SIMBA WANAWEZA KUMUACHA KWELI…MORRISON AWAHI NA  KUFICHUA HAYA… PAMOJA NA KUWA WANA KILA KITU…AZAM FC WAIBUKA NA SABABU HIZI ZA KUKOSA UBINGWA ETI….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply