Home Habari za michezo PAMOJA NA LIVERPOOL KUUKOSA UBINGWA WA EPL DHIDI YA MAN CITY MSIMU...

PAMOJA NA LIVERPOOL KUUKOSA UBINGWA WA EPL DHIDI YA MAN CITY MSIMU HUU …KLOPP AMBWAGA GUARDIOLA KWA UBORA…


Meneja wa Klabu ya Liverpool, Jurgen Klopp amechaguliwa kuwa kocha Bora wa Msimu Ligi Kuu ya England (EPL).

Klopp ambae ameiongoza Liverpool kubeba Makombe mawili mpaka sasa ikiwemp Kombe la Ligi (Carabao Cup) na Kombe la FA huku akimaliza nafasi ya pili katika ligi akiwa na alama 92 nyuma ya Mabingwa machester City waliomaliza na alama 93.

Mei 28 Klopp ataiongoza Liverpool katika mechi ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya dhidi ya Real Madrid.

SOMA NA HII  MASOUD DJUMA AANZA KUTOA SABABU DODOMA JIJI...ANADAI HAIPENDI TIMU....AITAJA SIMBA SC..