Habari za michezo

BAADA YA FUJO ZA YANGA JANA….WACHEZAJI , MANARA NA SENZO WALIAMSHA KIMTINDO…

admin June 27, 2022 2:22 am

 Kama kuna watu ambao wana furaha kubwa , basi ni wachezaji wa Yanga ya Dar es Salaam.

Wachezaji hao tangu walipowasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam na kupanda katika gari la wazi kutembeza kombe lao, wamekuwa wakionesha furaha kubwa kwa mamia ya mashabiki waliojipanga mitaa mbalimbali ambako basi lao lilipita.

“Asanteni sana. Asanteni,” hizo ni kauli zilizokuw
a zikitolewa na wachezaji hao huku wakionesha ishara ya kushukuru kwa mashabiki.

Wachezaji Fiston Kalala Mayele, Khalid Aucho, Djuma Shaaban, Feisal Salum walikuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki katika mitaa ambayo gari lao lilipita.

AKPAN NA LWANGA WAPISHANA SIMBA SC…MOTO WA KICHUYA WAZIDI KASI LIGI KUU…YANGA WAISIMAMISHA NCHI JANA.. BAADA YA KUONDOKA SIMBA NA KUJIUNGA NA AMAZULU….BWALYA AFUNGUKA A-Z KUHUSU USAJILI HUO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply