Habari za michezo

KUHUSU UBINGWA WA YANGA MSIMU HUU…BARBARA AIBUKA NA KUTOA KAULI HII MOJA TU…AMTAMBUA NABI….

admin June 28, 2022 2:46 am


Baada ya Yanga kunyakua Ubingwa wake wa 28, na juzi kukabidhiwa rasmi Kombe lake la Ligi Msimu wa 2021/2022 ambao kwa miaka minne ulihikiliwa na watani wao wa Jadi Simba SC.

Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amethibitisha ule msemo wa kuwa michezo sio uadui baada ya kumpongeza Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi akimsifu kwa kazi nzuri aliyoifanya kunyakua Ubingwa msimu huu.

Kupitia Mtandao wake wa twitter, barbara ameposti picha ya Nabi na kumsindikiza kwa maneno ya pongezi.

Tazama alichoandika Barbara hapa chini;


KISHINDO CHA UBINGWA WA YANGA CHATUA FIFA…WATUMIWA SALAMU ZA USHINDI…JANGWANI NI FULL KUJIIIONA YANI… IMEFICHUKA…YANGA WATUMIA MAMILIONI HAYA KUKODI GARI LAO LA UBINGWA UGANDA…DEREVA AFUNGUKA A-Z…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply