Home Burudani KAMA ULIUKOSA USIKU WA MAKOROKOCHO..BASI USIKONDE KESHO TEGESHA JICHO DStv ….MSELELEKO NI...

KAMA ULIUKOSA USIKU WA MAKOROKOCHO..BASI USIKONDE KESHO TEGESHA JICHO DStv ….MSELELEKO NI ULE ULE…

Tunausindikiza mwezi Juni kwa namna ya kipekee, kupitia usiku maalumu unaowaleta pamoja wakali wa vichekesho kutoka Tanzania, Uganda na Nigeria.


Ni marudio ya usiku wa Makarokocho Alhamis hii ambapo kwenye stage watakuwepo, Origino Comedy, Deogratious, Munga pamoja na Mzee Shayo kutoka Watu Baki bila kumsahau Salvador kutoka Uganda na Kevin Pam kutoka Nigeria.

Show nzima kuruka Live kupitia chaneli ya Maisha Magic POA 144, inayopatikana Ndani ya kifurushi cha Poa 9,900/=
Piga *150*53# kulipia kwa urahisi.
SOMA NA HII  WAKATI IBENGE NA WENZAKE WAKIHAHA ...SIMBA YAPEWA SHAVU NA KLABU YA RAJA CASABLANCA YA MOROCCO..