Home Habari za michezo BAADA YA FUJO ZA YANGA JANA….WACHEZAJI , MANARA NA SENZO WALIAMSHA KIMTINDO…

BAADA YA FUJO ZA YANGA JANA….WACHEZAJI , MANARA NA SENZO WALIAMSHA KIMTINDO…

 Kama kuna watu ambao wana furaha kubwa , basi ni wachezaji wa Yanga ya Dar es Salaam.

Wachezaji hao tangu walipowasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam na kupanda katika gari la wazi kutembeza kombe lao, wamekuwa wakionesha furaha kubwa kwa mamia ya mashabiki waliojipanga mitaa mbalimbali ambako basi lao lilipita.

“Asanteni sana. Asanteni,” hizo ni kauli zilizokuw
a zikitolewa na wachezaji hao huku wakionesha ishara ya kushukuru kwa mashabiki.

Wachezaji Fiston Kalala Mayele, Khalid Aucho, Djuma Shaaban, Feisal Salum walikuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki katika mitaa ambayo gari lao lilipita.

SOMA NA HII  MWADUKE :- MECHI YA LEO NA WYDAD...SIMBA SC WACHEZE KAMA WALIVYOCHEZA NA YANGA...