Home Habari za michezo BAADA YA KUTIMULIWA NA AL AHLY….PITSO MOSIMANE AJILENGESHA SIMBA NA YANGA…AOMBA KUPEWA...

BAADA YA KUTIMULIWA NA AL AHLY….PITSO MOSIMANE AJILENGESHA SIMBA NA YANGA…AOMBA KUPEWA ‘FULI DATA’…


Kocha wa zamani wa Alh Ahly, Pitso Mosimane kupitia ukurasa wa Twitter akiwa anajibu maswali na maoni ya wafuasi wake, mmoja wao (Igoti Shaaban) alimkaribisha kutazama mechi ya fainali kombe la Azam Shirikisho Yanga vs Coastal Union Jumamosi Julai 2 alijibu kwa kumuomba link ya kutazama mechi hiyo live kwakuwa hatoweza kufika ila akamuomba pia kujua Simba vs Yanga ni lini zitacheza ili aweze kuja Dar kuishuhudia.

Simba na Yanga zinaweza kukutana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii iwapo Yanga itafanikiwa kubeba Ubingwa wa Kombe la Azam Sports Julai 2 Fainali itakayopigwa Jijini Arusha.

Tofauti na hapo zitakutana katika mchezo wa Ligi Kuu msimu wa 2022/2023 na katika michuano mingine kulingana na ‘perfomane’ zao.

SOMA NA HII  BAADA YA YANGA KUTOBOA CAF...KAZE AIBUKA NA 'KICHAMBO' KWA MASHABIKI...