Burudani

HUYU HAPA ‘TSHABALALA’ AKIWA DUBAI…AIGA MAISHA YA MASTAA WA ULAYA KUPONDA RAHA ….AFUNGUA NJIA KWA WATZ…

admin July 6, 2022 1:53 pm


Beki ya kushoto ya Simba, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ yupo zake Dubai anakula bata akiwa na mkewe pomoja na mwanaye.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mohamed Hussein ameposti picha mbalimbali zinazomuonesha akiwa katika maeneo tofautitofauti akijiachia.

Beki huyo tegemeo wa Simba, ameondoka nchini mara baada ya timu yake ya Simba SC kumaliza Ligi Kuu 2021-22 wakiwa nafasi ya pili nyuma ya mtani wao wa jadi, Yanga SC.

Kipindi hiki timu zote za Ligi Kuu zipo kwenye mapumziko mafupi kabla ya kuanza kuweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi 2022-23 unaotarajiwa kuanza Agosti 17, 2022.

HII HAPA NJIA WATAKAYOITUMIA SIMBA KUMRUDISHA MIQUISSONE KIRAHISI KULIKO INAVYOFIKIRIWA… MATOLA AULA TENA SIMBA SC…INJINIA HERSI AANIKA USAJILI YANGA..AMTAJA MIQUISSONE…SENZO AKABIDHIWA MORRISON..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply