Habari za michezo

BAADA YA KIMYA KIREFU….HATIMAYE JINA LA NCHIMBI KUTAJWA TENA LIGI KUU AKIWA NA TIMU HII MPYA…

admin July 19, 2022 5:00 pm

 


Winga wa zamani wa Yanga na Geita Gold, Ditram Nchimbi anatajwa kujiunga na Tanzania Prisons iliyonusurika kushuka daraja ili kuongeza nguvu kikosini.

Prisons ilibaki Ligi Kuu kufuatia ushindi wa jumla ya mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Play Off, ambapo Ijumaa ya wiki hii itakuwa kambini kujiandaa rasmi na msimu ujao.

Hata hivyo timu hiyo ya jijini Mbeya ipo kwenye mawindo ya kusaka nyota nane wapya ikiwa ni makipa wawili, Straikia, beki wa kati na winga mmoja akiwa na jukumu la kutengeneza krosi za mabao.

Chanzo cha ndani ya klabu hiyo, kimedokeza kuwa nyota huyo aliyewahi kuzitumikia timu kadhaa ikiwamo Mwadui, Polisi Tanzania, Yanga na Geita Gold huenda akamalizana nao muda wowote.

BAADA YA  UJIO WA MASTAA KIBAO KITOKA NNJE..KIBU DENIS AIBUKA NA HILI KUHUSU NAFASI YAKE KIKOSI CHA KWANZA… KUHUSU DILI LA MANZOKI ….KIGOGO SIMBA ATOA UKWELI WA MAMBO ULIVYO…AFUNGUKA WALIPOKWAMA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply