Habari za michezo

BAADA YA KUANZA KUTUPIA SIMBA…OKRAH ATOA UJUMBE HUU KWA MASHABIKI NA KWA KOCHA MPYA….

admin July 19, 2022 12:00 pm

 


Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Augustine Okrah amewaambia mashabiki wa klabu yake wategemee magoli zaidi kutoka kwake.

Okrah amefunguka hayo mara baada ya kufunga bao lake la kwanza akiwa na Simba katika mechi ya majaribio waliyoipiga dhidi ya Ismaily nchini Misri jana Julai 17, 2022.

“Nampongeza kocha kwa kunipa nafasi ya kucheza na kufunga bao la kwanza nikiwa na Simba SC. Mashabiki wa Simba wategemee magoli zaidi kama ambavyo nimekuwa nikifanya siku zote,” alisema Okrah.

Simba imeweka kambi katika mji wa Ismailia ikijiandaa na mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu dhidi ya watani wao wa jadi Yanga inayotarajiwa kupigwa Agosti 13, 2022.

METACHA MNATA AZUA YA KUZUA ….POLISI TANZANIA WAIBUKA NA KUMNG’ANG’ANIA BAADA YA KUSAINI TIMU INGINE… YAMETIMIA …CHICO USHINDI AFYEKWA YANGA….YACOUBA SOGNE NAYE KUPITISHIWA PANGA LA MOTO JUMLA JUMLA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply