Habari za michezo

BAADA YA KUHAKIKISHIWA MABILIONI YAKE…HATIMAYE MSUVA APATA TIMU MPYA…ASEPA BONGO KIMYA KIMYA…

admin July 20, 2022 7:44 am

 


Winga nyota wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stqrs’ Simon Happygog Msuva amekamilisha mipango ya kujiunga na timu ya daraja la pili ya AL-QADSIAH.

Tayari jana amefanyiwa vipimo vya Afya na vimekwenda vyema.

Msuva ambaye alivunja mkataba na miamba ya soka ya Morocco, Wydad Casablanca anaanza maisha mapya ya soka nchini Saudi Arabia.

WIKI YA WANANCHI YANGA..TAREHE YATANGAZWA…KUPISHANA ANA SIMBA DAY KWA SIKU MBILI TU… JAMA JAMA HAWA DODOMA JIJI NAO WAPO POA KWENYE USAJILI…WASHUSA STRAIKA HILI LA MAANA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply