Home Habari za michezo TFF WAJIBU TUHUMA ZA MANARA LEO….WASHINDILIA HUKUMU NA FAINI JUU…

TFF WAJIBU TUHUMA ZA MANARA LEO….WASHINDILIA HUKUMU NA FAINI JUU…

 


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limeoneshwa kusikitishwa na maneno ya Msemaji wa Klabu ya Yanga ambayo ameyazungumza leo Julai 25 katika ukumbi wa Mikutano wa Serena Hotel.

Haji alifungiwa na kamati ya maadili ya TFF, kutojihusisha na mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka miwili sambamba na kulipa faini ya Tsh milioni 20.

TFF imesema katika barua yake kuwa haina muda wa kulizungumzia suala hilo kwani tayari limekwishatolewa maamuzi.

Soma barua ya TFF kwa urefu hapa chini;


SOMA NA HII  BAADA YA KUONA WENZAKE WALIVYOKIWASHA JANA...CHAMA KATIKISA KICHWA WEE..KISHA AKASEMA HAYA..