Habari za michezo

KUHUSU SIMBA DAY KUPELEKWA MBAGALA ZAKHEM…AHMED ALLY AFUNGUKA SABABU NA MIKAKATI ILIVYO….

admin July 29, 2022 3:43 pm


Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema wiki ya Simba itazinduliwa Julai 31, 2022 katika viwanja vya Mbagala Zakhem kuanzia saa 3 asubuhi.

“Baada ya kuzindua rasmi wiki ya Simba kila shabiki atakuwa na wajibu wa kufanya shighulu mbalimbali za kijamii ili kurudisha fadhila katika jamii zetu.

“Na kama hauna zuwezo wa kuwapelekea chochote wale wasiojiweza basi fagia hata barabara kuhakikisha tunafanya jambo lililo jema,” amesema Ahmed Ally.

Kumbuka Simba Day itakuwa Agosti 8, 2022.

SIKU CHACHE TOKA AMUONE MAZOEZINI…NABI AIBUKA NA KUTOA ‘KOMENTI’ HIZI KUHUSU UWEZO WA BIGIRIMANA… KUHUSU TETESI ZA TARIMBA KUIKATAA SIMBA KWENYE DILI LA SportPesa..UKWELI WA MAMBO UKO HIVI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply