Habari za michezo

MFAUME : YANGA HAINA THAMANI YA KUPATA MKATABA MNONO KAMA WA SportPesa…USHABIKI WA TARIMBA UMECHANGIA…

admin July 29, 2022 6:00 pm


Mchambuzi wa Soka, Mfaume Nalinga ametoa maoni yake juu ya Mkataba ulioingia klabu ya Yanga na SportPesa huku akibainisha kuwa klabu ya Yanga haikustahili kupata dili hilo kwani haina thamani hiyo.

Amebainisha kuwa uwepo wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa SportPesa ambaye ni shabiki na Mwanachama wa klabu ya Yanga Abbas Tarimba umechochea suala hilo kupelekwa kishabiki na Yanga kupata dili ambalo lina thamani kubwa kuliko thamani halisi ya klabu hiyo.

Jana klabu ya Yanga iliingia mkataba na Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa wenye thamani ya Bilioni 12.033 kwa kipindi cha miaka mitatu (3) ambao utakuwa na mchanganuo wa kuipatia klabu ya Yanga kiasi cha shilingi Bilioni 4 kila mwaka.

HII NDIO AVIC TOWN….SEHEMU WALIPOJIFICHA YANGA …KIBONGO BONGO UNAWEZA KUDHANI NI ULAYA AISEE… OKWA ATUA SIMBA KIBABE SANA…KAGERE NA WENZAKE WARUDI DAR…BANGALA ATUA TZ KWA MKWARA…JEZI MPYA GUMZO ….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply