Home Habari za michezo BAADA YA KUHAKIKISHIWA MABILIONI YAKE…HATIMAYE MSUVA APATA TIMU MPYA…ASEPA BONGO KIMYA...

BAADA YA KUHAKIKISHIWA MABILIONI YAKE…HATIMAYE MSUVA APATA TIMU MPYA…ASEPA BONGO KIMYA KIMYA…

 


Winga nyota wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stqrs’ Simon Happygog Msuva amekamilisha mipango ya kujiunga na timu ya daraja la pili ya AL-QADSIAH.

Tayari jana amefanyiwa vipimo vya Afya na vimekwenda vyema.

Msuva ambaye alivunja mkataba na miamba ya soka ya Morocco, Wydad Casablanca anaanza maisha mapya ya soka nchini Saudi Arabia.

SOMA NA HII  YANGA KUSHUSHA MUZIKI KAMILI LEO,KAZI IPO