Gloria anazidi kupambania penzi lake kwa Hendry, huku Regina akiwa na mpango wa kumtoa nyumbani kwao, je nini kuendelea…?
Usikose kutazama tamthilia ya Pazia kila siku za Jumatatu – Jumatano saa 1:30 usiku kupitia chaneli ya Maisha Magic Bongo 160, inayopatikana kuanzia kifurushi cha Bomba 21,000/=
Piga *150*53# kulipia kifurushi kwa urahis.
#DStvEwaaah