Habari za michezo

WAKATI SIMBA WAKIENDELEA KUJIVUTA VUTA…YANGA WAFANYA KWELI KWA MANZOKI…KUKIWASHA SIKU YA WANANCHI…

admin August 1, 2022 9:05 am


Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, 2021/2022 Yanga watakipiga na Mabingwa wa Ligi Kuu ya Uganda Vipers United Katika kilele cha wiki ya Mwananchi.

Yanga ambao wanakwenda katika Tamasha la wiki ya Mwananchi, wameialika Vipers FC kuja kucheza nao mchezo katika siku ya Julai 6, Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Klabu ya Vipers FC ndiyo ambayo anaichezea Straika Cesar Manzoki anaewindwa na Simba SC huku dili hilo likiwa bado lina vuta nikuvute.

Kwa Mantiki hiyo iwapo Simba wakishindwa kumsajili Manzoki bila shaka mchezaji huyo atakuwepo katika mchezo huo siku ya Jumamosi,

YANGA SC WAZIDI KUPANGA NA KUPANGUA SAFU ZA UTAWALA….BOSI KMC APEWA SHAVU LA UMENEJA…. M-BET WAIMWAGIA SIMBA BILION 26 ZA UDHAMINI….MKATABA WAO NI WA KIHISTORIA TOKA TANZANIA IUNDWE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply