Habari za michezo

KUELEKEA SIKU YA WANANCHI….MWANAYANGA SIKIA KAULI HII YA KIBABE KUTOKA KWA MTAALAMU AUCHO…

admin August 6, 2022 7:00 am


Mchezaji wa kimataifa wa Uganda anayecheza kwenye klabu ya Yanga, Khalid Aucho ameahidi kuwa kuelekea msimu ujao wanatarajia kufanya vizuri kwenye ligi na michuano ya kimataifa.

Aucho kwenye msimu uliopita alichezea Yanga michezo 21 na kufanikiwa kufunga bao moja na kutoa asisti tatu kwenye michezo yote aliyoicheze klabu hiyo.

“Msimu uliopita hatukuwa fiti sana ndio maana hata kwenye michuano ya kimataifa tulitolewa katika hatua ya awali.

“Msimu ujao tunawaahidi wana yanga kwamba tutafanya vizuri kutokana na maandalizi ambayo tumefanya hata kama ni kwa kipindi hiki kifupi ambacho tumejiandaa kinatosha sana.

“Wachezaji ambao wameongezwa kwenye kikosi wataongeza kitu na tutafanya vizuri zaidi ya msimu uliopita.”

CHAMA : MSIMU HUU TUNAKUJA NA STAILI YA MANDONGA…ITAKUWA AIBU KUBWA SANA KWA SIMBA…. PAMOJA NA KUPEWA KAMBI YA KISASA…KOCHA SIMBA ADAI KAZI BADO NGUMU SANA…AFUNGUKA ANACHOKITAKA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply