Habari za michezo

PAMOJA NA KUPEWA KAMBI YA KISASA…KOCHA SIMBA ADAI KAZI BADO NGUMU SANA…AFUNGUKA ANACHOKITAKA…

admin August 6, 2022 7:00 am


Licha ya kukiri kuwa maandalizi ya kikosi chake yalienda vizuri huko Misri, kocha wa Simba, Zoran Manojlovic anaamini kuwa bado  anakazi ya kufanya kwa siku chache zilizosalia.

Zoran ambaye kwenye mazoezi ya  kesho, Ijumaa atakutana na wachezaji wake wote, ikiwemo wale ambao walikuwa kwenye kikosi cha Taifa Stars alisema amevutiwa na uwajibikaji wa wachezaji wake.

“Mandalizi yapo pazuri, ninafuraha na uwajibikaji wa wachezaji yapo matumaini makubwa tusubiri na kuona msimu utakapoanza,”

“Ninahamu ya kujumuika na wachezaji wote kumalizia sehemu iliyobaki ya maandalizi,” alisema.

KUELEKEA SIKU YA WANANCHI….MWANAYANGA SIKIA KAULI HII YA KIBABE KUTOKA KWA MTAALAMU AUCHO… KUELEKEA MECHI YA NGAO YA JAMII ….MANULA APEWA SIKU SABA KWA YANGA…KOCHA AFUNGUKA ATAKACHOMFANYA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply