Habari za michezo

KISA SIMBA NA YANGA ..SENZO KWA MARA YA KWANZA AIBUKA NA MSIMAMO HUU KUHUSU SOKA LA TZ…

admin August 11, 2022 3:18 pm


Aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga SC Senzo Mbatha, amesema kwa sasa hana mpango wa kufanya kazi nchini baada ya miaka mitatu ya utumishi wake kwenye vilabu vya Simba na Yanga kwa nyakati tofauti.

Senzo alimaliza mkataba wake na Yanga Julai 31 mwaka huu na hakutaka kuongeza Mkataba na klabu hiyo.

Senzo alikuepo Jijini Arusha alipokuja kuhudhuria Mkutano wa Shirikisho la Soka Afrika CAF.

SIMBA JEURI TUPU NA CAF YAO….MABOSI WAANZA UMAFIA MAPEMAAA…ISHU YA MBRAZILI WA SINGIDA NA YANGA IKO HIVI… WAKATI BARBARA AKIWAKILISHA SIMBA KWENYE MKUTANO WA CAF…YANGA WAIBUKA NA HOJA HIZI BAADA YA KUTOPEWA MWALIKO….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply