Habari za michezo

SAA CHACHE BAADA YA YANGA ‘KUMPANGUSA KAZI’…BUMBULI AIBUKA NA UJUMBE HUU…ATAJA ANAPOENDA KUFANYA KAZI…

admin August 12, 2022 2:21 pm


Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Hassan Bumbuli ametangaza rasmi kumalizana na timu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Jangwani.

Kupitia ujumbe wake kwa wanahabari Bumbuli amewashukuru kwa ushirikiano waliompatia katika kipindi chake chote.

“Ndugu zangu, naomba kutumia fursa hii, kuwashukuru kwa ushirikiano wenu katika kipindi chote nilichokuwa Afisa Habari wa Klabu ya Yanga.”

“Nawaaarifu rasmi kwamba nimemaliza mkataba wangu wa kuitumikia timu ya Yanga na sasa narejea kwenye majukumu yangu mengine.”

“Nawashukuru sana kwa Umoja wenu, ushirikiano wenu katika kipindi chote tulipokuwa pamoja.”

Mpaka sasa Mrithi wa Hassan Bumbuli katika kitengo cha Afisa Habari ndani ya Yanga hajatangazwa.

KUELEKEA MECHI YA KESHO DHIDI YA YANGA….MABOSI SIMBA WAINGIA KITETE CHA KUPATA GUNDU KAMA LA MSIMU ULIOPITA… KUELEKEA MECHI NA SIMBA KESHO….’SURE BOY’ AOMBA MSAADA WA MASHABIKI …HASIRA ZA KIPIGO CHA VIPERS ZAMTIA ‘WAZIMU’…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply